Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, May 5, 2014

WATANZANIA WAJITOKEZA KUHANI MSIBA WA ERNEST MEZA NYUMBANI KWAKE.

Ernest Meza katikati akiwa na majonzi ya kuondokewa na mama yake mzazi huko Tanzania, lakini alijisikia faraja kuona Watanzania wenzake walivyo jitokeza nyumbani kwa ajili ya kumpa pole.
Picha na Vijimambo Blog
Hapa ni nyumbani kwa Meza huko Mt Vernon New York, Watanzania walijumuhika hili kumfariji mfiwa. Mama yake Meza amefariki dunia huko Tanzania na mazishi yatafanyia nyumbani kwao Bukoba.

0 comments: