Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California.
Diamond
Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asieshikika sasa hivi ambaye ni
maarufu zaidi kwenye wimbo wake wa my number one aliyemshirikisha
mwanamuziki mwingine wa Nigeria anayefanya vizuri sasa hivi Davido
akifanya show kali jijini Los Angeles, California siku ya Jumamosi June
28, 2014 ikiwa pia akijiandaa kwenye BET award’14 inayofanyika leo
jijini humo wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido
umekuwa nominated kwenye katagoli ya international collaboration. Mgeni
wa heshima alikua Mhe. Ahmed Issa ambaye ni Balozi wa Heshima wa
Tanzania California.
Mashabiki wa Diamond wakipagawa kwenye showa ya Diamond Platinumz iliyofanyika Los Angeles, California nchini Marekani.
Diamond Platinumza rais wa Wasafi akifanya vitu vyake.
Diamond Platinumz akiwachengua mashabiki waliohudhuria show yake ya California.
Diamond Platinumz akishambulia jukwaa na kuwapagawisha mashabiki wake wa California nchini Marekani.
Diamond Platinumz akishambulia jukwaa.
Mashabiki
wakipagawa kwa show ya kukata na shoka toka kwa rais wa wasafi Diamond
Platnumz. Picha na Abdul Majid mwakilishi wa Vijimambo Los Angeles
California picha zaidi bofya hapa
0 comments:
Post a Comment