VIDEO:Watazame Wema Sepetu, Ommy Dimpoz na Aunty Ezekiel wakiimba kusherekea ushindi wa Diamond Platnumz
Ni Masaa machache kabla ya kuanza kwa tuzo za MTV MAMA
Awards na Tayari Ommy Dimpoz , Wema Sepetu na Aunty Ezekiel wameanza
kujirekodi huku wakiimba nyimbo ya “I Gotta feeling” ya Black eyed peas
yenye mistari inayoashiria kumtakia ushindi Diamond Platnumz Usiku wa
leo…
0 comments:
Post a Comment