Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, February 22, 2014

VIDEO NA PICHA : MUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA‏

Mtanzania Elisha Bahunde jina maarufu Eric ambaye siku ya Jumamosi Feb 15, 2014 alipata ajali Jimbo la Indiana iliyopelekea kukatika kwa miguu yote miwili na mkono wa kulia na baadae kuhamishiwa Jimbo la Maryland kwa matibabu zaidi kwa sasa yupo University Of Maryland Medical Center iliyopo 22 S Greene St, Baltimore, MD Ghorofa ya 6 chumba # 8 na anatumia jina la Elisha Bahunde ama kweli hujafa hujaumbika na Mwenyezi Mungu ndiye mueza wa kila jambo ebu sikiliza mwenyewe video hiyo hapo chini na ujionee na picha pia tumekuekea video aliyoshiriki kwenye Kijiwe cha Ughaibuni ameva shati la njano na amekaa karibu na Ally Bambino



 Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
 Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.
 Rais wa Jumuiya DMV, Bwn. Idd Sandaly akiwa Hospitalini hapo kumjulia hali mgojwa
 Abdi Makeo amkimjulia hali Elisha Bahunde
 Said Mwamende akimjulia hali Bwn. Eric huku akilengwa na machozi
 Wanajumuiya waliofika kumjulia hali wakiwa hawaamini walichokiona.
Kutoka kushoto ni Abdi Makeo, Saidi Mwamende, Rais wa DMV Idd Sandaly na Jabir Jongo wakiwa chamba cha mapumziko baada ya kumaliza kumjulia hali Elisha Bahunde kwa jina lingine Eric
Kijiwe No. 44 from Luke Joe on Vimeo.

9 comments:

Anonymous said...

LOoh!Pole sana Ndugu.Maisha ni kitendawili kisicho na mteguzi.Hapo kama Mtu unaye amini maombi usiache kuendelea kusali.Mungu yupo Daima nawe akutie nguvu na akumulike.Ndugu jamaa na marafiki wasichoke kukuhudumia.Maaana utawahitaji milele.Pole sana

Unknown said...

Mungu akujalie get well soon,

Unknown said...

Pole sana,Mungu ni mwema atafanya njia

Mbalu Mimi said...

Pole sana Elisha. Kweli wewe ni jasiri.

Anonymous said...

Pole kaka,Mungu aendelee kukutangulia na ku kupa una sire na faraja.Amen

Anonymous said...

Pole kaka, ningekushauri uondoe hii video an ukae kimya maana jamaa wanaweza kukukimbia muda si mrefu. In gharama wao kukuweka wewe hospitali. Tafuta mwanasheria mzuri.

Gandil said...

Never seen such a positive mind!

Egidio Ndabagoye said...

Pole sana kaka.Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki.

Egidio Ndabagoye said...

Pole sana kaka,Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.