Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, July 29, 2017

WAJUMBE WA KAMATI YA MAADILI MALAWI WATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI


  Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya nchini Malawi watembelea Tanzania kujifunza utendaji kazi wa maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni pamoja na utendaji katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hususan katika eneo la utoaji huduma kwa Umma katika kupambana na Rushwa na uadilifu wa Utumishi. 
Mratibu wa Kituo cha huduma kwa mteja; Johnson Sanga akionyesha electronic queing machine ya kuhudumia wateja sawa sawa na anayewahi kufika, ambayo hutumika katika Kituo cha Huduma kwa Mteja; Kwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili kutoka Malawi.
Kamati ya Maadili kutoka nchini Malawi ikiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya uadilifu ya Wizara ya Ardhi. Na Kitengo cha Mawasiliano SerikaliniWizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

0 comments: