Balozi wetu nchini Oman Mh Ali Ahmed Saleh (shoto) akikabidhi nakala ya hati zake za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mh Yusuf bin Alawi bin Abdullah huko Muscat. Baadaye atakabidhi hati hizo kwa Sultan Qaboos bin Said, Kiongozi Mkuu wa Oman
Balozi wetu nchini Oman Mh Ali Ahmed Saleh (shoto) baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mh Yusuf bin Alawi bin Abdullah huko Muscat
Balozi wetu nchini Oman Mh Ali Ahmed Saleh akiweka saini katika kitabui cha wageni kabla ya akikabidhi hati zake za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mh Yusuf bin Alawi bin Abdullah huko Muscat
Balozi wetu nchini Oman Mh Ali Ahmed Saleh akipozi baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mh Yusuf bin Alawi bin Abdullah huko Muscat. Shoto ni afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Oman Bw Abdallah Kilima na kulia ni Balozi Hamad Al Kiyumi, Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Wizara ya Mambo ya Nje ya Oman
0 comments:
Post a Comment