Iddi Seif Sandaly Rais Mpya Wa Chama Cha Watanzania DMV
IddiSeif Sandaly ndiye rais mpya aliyechaguliwa kwenye mkutano wa uchaguziwa Watanzania DMV uliofanyika katika ukumbi wa Mirage, Iddi SeifSandaly alishinda kwa kura 205.
JacopKinyemi aliyekuwa kwenye kinyang'anyiro cha Ukatibu Mkuu na kuwa wapili kwa kura 82, Amos Cherehani ndiye aliyeshinda Ukatibu Mkuu kwakura 192 na Rhoda Kasamba kwenye nafasi ya Ukatibu Mkuu alipata kura 40.
LovenessEdwin Mamuya ambaye alikuwa mgombea wa Urais kwenye mkutano wa uchaguziuliofanyika Jumapili Aprili 15, 2012 na kupata kura 119.
Mselem(kushoto) na Dr. Mwamoyo Hamza, Kamati ya Kurekebisha Katiba ambayo piailisimamia uchaguzi wakitayarisha vitendea kazi na kuweka mambo sawakabla ya upigaji kura.
Mgombea Uraisi Loveness Mamuya (kati) akifuatilia mkutano wa uchaguzi
Maafisa Ubalozi wakifuatilia uchaguzi huo.
Watanzania wa DMV wakiwa mkutanoni.
Watanzaniawa DMV ambao Jumapili Aprili 15, 2012 walifika kwa wingi na kuandikahistoria mpya kwa kuwachagua viongozi watakaoongoza Jumuiya DMV ambayoilikuwa inalegalega tangia 2007.
Mgombea wa Urais Iddi Sandaly (kati) akifuatilia mkutano wa uchaguzi.
Wajumbewa Bodi ambao wote walipita kwenye uchaguzi huo kutoka kushoto ni Al-Amini Chande, Dr. Hamza Mwamoyo, Eliserena Kimolo, Grace Sebo Mgaza naHaruni Ulotu. Picha na Vijimambo Blog
0 comments:
Post a Comment