Mwanamuziki wa kizazi kipya akiwa jukwaani kwenye kiota Rio Lounge akifanya makamuzi ya nguvu.

Mashabiki wakiwa wamepagawa huku Linah akiendelea na makamuzi ya kufa mtu.

Linah akiendelea kufanya show kabambe ndani ya kiota cha Rio Lounge kilichopo Laurel Maryland.

Linah akiimba kwa hisia kali
Mashabiki wakipata picha ya pamoja
Picha zote kwa hisani ya Vijimambo Blog
0 comments:
Post a Comment