Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, April 17, 2012

Matukio Mbali mbali ya Rais Dr. Jakaya kikwete huko Brazil

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kuhusu mashine ya kisasa ya kutambua muda wa kumwagilia maji shambani iliyoundwa na taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu ukulima wa nyanya wa kisasa katika taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la 
Brasilia.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akijaribu kofia aliyopewa kama zawadi na uongozi wa  taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) alipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia. 

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa (AFRIKA) wa Brazil Balozi Paulo Cordeiro de Andrade Pinto jijini Brasilia, Brazil April 17, 2012.
 Picha: Ikulu

0 comments: