
NDUGU AMOS MATALI CHEREHANI
NI MTANZANIA WA KUZALIWA ANAYEISHI WASHINGTON DC. NI MTAALAM WA MAMBO YA FEDHA NA UTAWALA AMBAYE AMEFANYA KAZI MBALIMBALI HAPA DMV. NI MCHAPAKAZI, MTU ALIYE NA MSIMAMO USIOTINGISHIKA, MWENYE UZOEFU, BABA WA FAMILIA NA AMBAYE ANAYO MAONO YA KUWEZA KUWAUNGANISHA WATANZANIA WAISHIO HAPA MAREKANI NA WALIOKO TANZANIA.
TUMIA NAFASI YAKO KUCHAGUA KIONGOZI ALIYE NA UPEO WA MASUALA MBALIMBALI YA MAENDELEO ILI APATE NAFASI YA KUSHIRIKIANA NA WATANZANIA WOTE HAPA DMV KULETA MABADILIKO YA KWELI.
CHAGUA MABADILIKO- MCHAGUE NDUGU AMOS MATALI CHEREHANI
IMETOLEWA NA VIJIMAMBO BLOG
IMETOLEWA NA VIJIMAMBO BLOG
0 comments:
Post a Comment