Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, April 6, 2012

MWANAMUZIKI WA KIZAZI KPYA ,LINAH AKIWA KWENYE MAZOEZI YA MWISHO TAYARI KUWASHA MOTO JUMAMOSI

 Mwananmuziki wa kizazi kipya Linah akijifua vikali tayari kwa show ya kukata na shoka atakayoifanya Jumamosi ya Pasaka April 7, 2012 katika kiota cha maraha Rio Lounge kilichopo Laurel, Maryland.
 Linah akiendelea kijifua ndani ya kiota cha Rio Lounge kilichopo Laurel, Maryland.
 Linah akicheza kwa madaha kabisa huku akiwa mwenye furaha akionekana tayari kabisa kupagawisha Jumamosi April 7, 2012 katika kiota cha Rio Lounge kilichopo Laurel, Maryland.
 Ni muziki mpaka asubuhi lakini hakuna kukesha Linah anakuambia usikose ni show ya kufa mtu ndani ya club ya Rio.
 Poromota akiwa kazini akiendelea na poromosheni ya nguvu huku akiendelea kujibu maswali ya hapa na pale kwenye kitabu cha uso (fb).



 V.I.P. inavyoonekana.
Bar ya Rio inavyoonekana toka mbali


Zaidi Ingia hapa VIJIMAMBO BLOG

0 comments: