Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, April 6, 2012

SIMBA NGOMA INOGILE HUKO SETIF ALGERIA, ILIFANYA MAZOEZI YA MWISHO JANA

FULLSHANGWEBLOG.COM ikiwa jijini Setif  Algeria inakumuvuzishia moja kwa moja matukio ya picha jana katika Kocha wa Simba Milovan katikati akiwa katika picha ya pamoja na  baadhi ya viongozi wa Simba na Marafiki pamoja na mashabiki wa timu ya Simba kabla ya kuelekea kwenye mazoezi ya mwisho  jana jioni hapa wakiwa katika Hoteli ya mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaranza Zinedine Zidane ambapo wamefikia.
 Viongozi wa Simba wakiangalia mazoezi ya timu ya Simba kabla ya kipute kati ya timu ya Simba ya Tanzania na Es Setif ya huko ambapo Baadhi ya mashabiki  wa timu ya Simba waliohudhuria mazoezi ya mwisho jana kama anavyoonekana Mwenyekiti wa Simba Mh. Aden Rage wa tatu kutoka kulia akiongoza viongozi wa Simba, Marafiki na mashabiki wakati wa mazoezi jana, wa kwanza kutoka kushoto mstari wa pili nyuma ni mdau Nick Magarinza.
Picha zote kwa hisani ya Full Shangwe blog

0 comments: