![]() |
| Kamanda Ras Makunja akipigisha wadau kwata |
![]() |
| Christian Bakotessa aka Chris-B |
Kile Kikosi Kazi cha FFU ughaibuni aka Ngoma Africa band, kimepakua jikoni songi jipya "Uhuru wa habari" utunzi wake Kamanda Ras Makunja, akiimba kwa kushirikiana na kijana Christian Bakotessa aka Chris-B,ambaye pia ni mshambuliaji mkali wa solo gitaa (Mtutu),wimbo huo mpya umeshaanza kushambulia hewani.
Pia unaweza kuusiskiliza na kama hakuna anae kupiga chabo basi serebuka kidogo, pia unaweza kusikiliza kitu kipya hiko katika FFU camp at


0 comments:
Post a Comment