Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, May 2, 2012

Ngoma Africa band yatoa salam za hongera kwa wanahabari



Bendi ya maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya "Ngoma Africa band" aka FFU


yenye maskani yake nchini Ujerumani ,inatoa salam za hongera na pongezi nyingi


kwa wanahabari na vyombo vya habari vyote duniani,katika sherehe ya siku ya


"Uhuru wa vyombo vya habari" 3 Mai 2012.
Bendi hiyo inawapongeza wanahabari
na vyombo vyao,kwa kazi muhimu
wanazofanya za kuwapasha habari walimwengu,
kwani mchango wa wanahabari katika kila jamii duniani,ni sawa na mbolea katika maisha
ya kila siku,kwani maisha
bila ya habari ,ni sawa miti bila mizizi.
Hongereni sana wanahabari na Wanalibeneke wote duniani.
FFU wa Ngoma Africa band sasa wanatamba song lao jipya
"Uhuru wa habari" wimbo ambao unasikika hapa
www.ngoma-africa.com
au  hapa http://www.ngoma-Africa.com

0 comments: