Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, November 24, 2012

TANGAZO LA MSIBA



 Mtanzania mwenzetu, Selyan Samson Ene Sabore wa Tøyen, Oslo nchin Norway. Amefariki dunia leo jioni nchini Finland alikokuwa kwenye mapumziko na marafiki zake. Selyan alikuwa anafanya mazoezi, akaanguka na kuzimia kufa (comma), Jumamosi, Novemba 17. Bahati mbaya hakuamka na leo jioni akafariki dunia. Mwenyezi Mungu Amweke Pema...Ameen
Selyan Samson Ene Sabore wakati wa uhai wake


Mipango inafanywa kuusafirisha mwili wa marehemu kuupeleka nchini Tanzani
 Ijumaa 30th November 2012. 

Ili kufanikisha safari yake ya mwisho wa maisha yake tunaomba msaada wako kupitia Account ifuatayo:

NAME: Aika Msuya

ACCOUNT NUMBER: 97103785808
NAME OF THE BANK: Skandiabanken
IBAN-number: NO9597103785808
SWIFT/BIC-kode: DNBANOKK / SKIANOBB

Misa ya kuuaga mwili wa marehemu itafanyika
‘Grønnland Kirke’ (Grønnlandsleiet 34)
on Wednesday, 28th November 2012
at 2.00pm (14:00 CET).

Kwa maelezo zaidi wasiliana na 

Aika Msuya: +47 95496761

Gloria Mbabazi: +47 92827420
May The Lord Almighty Rest Her Soul in Eternal Peace
Dr. Sendeu Titus M. Tenga
Chairman,
Tanzanian Association in (Oslo) Norway

0 comments: