Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, July 5, 2013

RAIS MSTAAFU ALHAJI ALI HASSAN MWINYI AWASILI LEO HII JIJINI WASHINGTON DC MAREKANI, KAMA MGENI RASMI WA TAMASHA LA KISWAHILI NCHINI MAREKANI




 Rais Mstaafu Mhe. Alhaji Ali Hassan 
Mwinyi akiwasili katika uwanja 
wa ndege wa kimataifa wa Dulles.
Rais Mstaafu Mhe. Alhaji Ali Hassan Mwinyi
 akiwa ameambatana na Mkewe
 mama Siti Mwinyi, mara baada ya
 kuwasili katika uwanja wa ndege
 wa kimataifa wa Dulles.

Na Alex Kassuwi/Swahili TV

Rais Mstaafu Mhe. Alhaji Ali 
Hassan Mwinyi awasili leo hii
 katika jiji la Washington DC, 
Marekani, ambapo atakuwa
 mgeni rasmi katika tamasha 
la kukienzi na kukikuza kiswahili
 nchini  Marekani. Tamasha hili 
ambalo limeandaliwa na
 Ubalozi wa Tanzania nchini
 Marekani litafanyika kesho kutwa 
siku ya Jumamosi tarehe Julai 
6, 2013 katika Ukumbi wa
 mikutano wa Hampton uliopo
 katika Jimbo la Maryland.



Kutoka kushoto, Afisa Ubalozi 
Bw. Suleiman Saleh, 
Mama Siti Mwinyi, Rais mstaafu 
Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Kaimu 
Balozi Bi. Lily Munanka, mara 
 baada ya kumpokea Mgeni
 Rasmi katika Tamasha la Kiswahi 
chini Marekani litafanyika kesho 
kutwa siku ya Jumamosi tarehe
 Julai 6, 2013 katika Ukumbi 
wa mikutano wa Hampton uliopo
 katika Jimbo la Maryland.



Picha kutoka kuchoto; Mkurugenzi 
wa Swahili TV Bw. Alex Kassuwi.
 Mama Siti Mwinyi, Rais Mstaafu 
Mhe. Ali Hassan Mwinyi na Kaimu
 Balozi Bi. Lily Munanka, mara
 baada ya kumpokea Rais Mstaafu Mwinyi.



Gari lililombeba Rais Mstaafu
 Mhe. Ali Hassan Mwinyi 
lilikielekea katikati jiji la 
Washingston DC, Marekani, leo hii Julai 4, 2013
Msafara wa  Rais Mstaafu 
Mhe. Ali Hassan Mwinyi 
ukielekea katikati jiji la
 Washingston DC, 
Marekani, leo hii Julai 4, 2013



Hoteli alikofikia  Rais 
Mstaafu Mhe. Ali Hassan
 Mwinyi katika jiji la
 Washingston DC, Marekani, leo hii Julai 4, 2013
Rais Mstaafu 
Mhe. Ali Hassan akipokelewa 
na mtoto aliyempa ua katika
 hoteli yake Washingston DC, 
Marekani, leo hii Julai 4, 2013


Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan
 Mwinyi mara baada ya
 kuwasili katika hoteli yake
 Washingston DC, Marekani, leo hii Julai 4, 2013

Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan 
Mwinyi akiongea na wenyeji
 wake mara baada ya kuwasili katika hoteli yake Washingston DC, Marekani, leo hii Julai 4, 2013



Rais wa Jumuiya ya Watanzania
 DMV Bw. Iddi Sandali  akiwa
 na Kaimu Balozi Bi. Lily Munanka



Emmanuel Mgaya aka Masanja
 Mkandamizaji akiwa na Mkurugenzi 
wa Swahili TV Bw. Alex kassuwi
 katika Hoteli alikofikia


Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan 
Mwinyi leo hii Julai 4, 2013


Shilole akiwa na Mkurugenzi 
wa Swahili TV Bw. Alex kassuwi 
 katika Hoteli alikofikia


Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan
 Mwinyi leo hii Julai 4, 2013


Dr. Amour Mwinyi akiwa na 
mdau katika Hoteli alikofikia
Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan 
Mwinyi leo hii Julai 4, 2013


 Bi. Mindi Kasiga, Afisa habari 
wa Ubalozi wa Tanzania 
nchini Marekani akiwa na
 Mkurugenzi wa Swahili TV 
Bw. Alex kassuwi katika Hoteli alikofikia
Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan
 Mwinyi leo hii Julai 4, 2013

Msanii Shilole akiwa na 
wadau waliokuja kumpokea 
Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan
 Mwinyi leo hii Julai 4, 2013 katika Hoteli yake.


 Mfanyakazi wa Ubalozi Bw. Eliud
 Mbowe  akiwa na Mkurugenzi 
wa Swahili TV Bw. Alex kassuwi
 katika Ubalozi wa Tanzania 
nchini Marekani leo hii Julai 4, 2013
 Bi. Asha Nyang'anyi akiwa na 
wadau  katika Hoteli alikofikia
Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan
 Mwinyi leo hii Julai 4, 2013

 Wadau waliofika katika 
Hoteli alikofikia
Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan 
Mwinyi leo hii Julai 4, 2013

 Masanja akiwa na shabiki 
wake katika Hoteli alikofikia
Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan 
Mwinyi leo hii Julai 4, 2013

PICHA NA VIJIMAMBO BLOG

0 comments: