TANGAZO LA UCHAGUZI WA JUMUIYA, JUMAMOSI SEPTEMBA 14, 2013
Kwa niaba ya Kamati huru ya Uchaguzi, tunapenda kutangaza rasmi
Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ni Jumamosi Septemba 14, 2013. Tarehe ya
mwisho ya kurudisha fomu ni Saa 9 Alasiri (3pm) Ijumaa Septemba 13,
2013.
Nafasi za Uongozi
Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti
Katibu na Katibu Msaidizi
Mweka Hazina na Mweka Hazina Msaidizi
Sifa za Mgombea;
1. Awe na Elimu isiyo ya chini ya kidato cha nne
2. Awe Mwanachama Hai asiyedaiwa michango.
3. Ailewe katiba ya NYTC na awe tayari kuitumikia Jumuiya kwa moyo wake wote.
4. Awe Mwaminifu, Mkweli na Mpenda Umoja.
Fomu fungua attachment hapo juu.
Kama unaswali lolote wasiliana na Kamati ya Uchaguzi;
1. Mwenyekiti-Mchungaji Mama Butiku 516 314 9803
2. Katibu - Hamza Mandia 347 314 4255
3. Prof. Lwiza- Mjumbe 631 278-3859
4.Jesse chiume ( Da mgeni)- Mjumbe 917 254-3343
5. Kahwili Mujunangoma Mjumbe 914 654 1913
Mahali: 30 overhill road, Mt. Vernon, NY
Tujitokeze kugombea nafasi za Uongozi ili tuendelee kujenga Jumuiya imara.
Ahsanteni sana
0 comments:
Post a Comment