Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, March 25, 2014

TAARIFA:Michael Agustine Lukindo Mtanzania aliyefariki Wisconsin wanatafutwa ndugu zake maiti kuchomwa moto Jumamosi‏

Michael Agustine Lukindo enzi ya uhai wake.
Kuna Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, wanatafutwa ndugu zake. ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka thelathini. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989 familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama unafununu au kujua lolote kuhusiana na ndugu yetu huyu unijulishe mimi naitwa Lugome Fautus email yangu ni . Lengo nikuweza kuwafahamisha ndugu zake nyumbani Tanzania. Asante kwa ushirikiano wako. Tunatanguliza shukurani
Michael Lukindo akiwa na mkewe na watoto wake wanne.
Historia yake
Augustino “Mike” Lukindo, 59 , departed this life on Sunday, March 16, 2014, surrounded by his immediate family. Mike was born and raised in Tanzania, Africa (Tanga) to Augustino and Josephine Lukindo. He moved to America in the early 1980’s, where he lived in Providence, Rhode Island for five years. Mike married Lillie B. in Rhode Island, and later moved to Madison where they built their family of four and confessed his life to Christ.
Mike was a family man, a funny guy with a good sense of humor. He loved to joke around. He liked comedy and he loved going to his children’s school to participate. He always had a smile and his favorite phrases were “Hey Brother-in-law , Sister-in-law, where the party at?” Mike was of true African decent, he never forgot his heritage.

Augustino “Mike” was proceeded in death by his mother, father, siblings and one sister-in-law, Irlene Person-Wilson. Mike is survived by his wife Lillie, son Augustino Franklin, three daughters Amanda, Josephine and Adrian Lukindo, all of Madison.

Kwa taarifa zaidi ya siku ya kuaga mwili bofya hapa

1 comments:

Anonymous said...

Nnatoa pole sana pili najiuliza mtu toka 1980's aliondoka TZ utamuitaje mtanzania kwavile kazliwa Tanga? Huyu Baba mpk ameoa hk na watoto wanne wakubwa kweli hana Ndugu?miaka yote anaishije bila ndugu? Sidhan kama ni sahihikukosa ndugu! Pia toka 1980's ni miaka 30+ imeshapita simsemi marehemu ila nasema mkikaa huko mkumbuke makwenu na Ndugu zenu na ata jirani! Je ndugu wakipatikana unadhani watapata hela ya nauli ya kuja huko maisha ya bongo makali sana ! Asante kwa taarifa hz zinazopasua akili kwa kuwaza!Apumnzike kwa Amani a Tanzania's Gentlemen!