Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, March 19, 2014

TANGAZO KWA WANAJUMUIYA WOTE WA TANZANIA NEW YORK



Waheshimiwa Wanajumuiya, 

Jumuiya za Watanzania na DICOTA zimekubaliana kufanya semina kwa Wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba ili kuwapa elimu ya uraia pacha na kuwaelimisha ili waweze kulielewa suala hili katika jitihada zetu za kuwafanya waliingize suala la uraia pacha kwenye Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katika kuandaa semina hizi na kulingana na unyeti wa suala hili zima, kiasi cha dolla 25,000 zilipendekezwa ziweze kupatikana ili kuhakikisha tunafanikisha semina hizi. Pesa hizi ni za gharama za kuandaa mkutano na gharama za waatalamu watakaotoa semina hizo pamoja na gharama nyingine nyingi zitakazojitokeza.  Kila mwanajumuiya anaalikwa kuchangia kuanzia kiasi cha dolla kumi, akitoa zaidi itakuwa vizuri zaidi.

Ili uweze kuchangia ingia kwenye website hii hapa chini na soma maelezo zaidi yanayofuata ili uweze kuelewa. Vile vile Kutakuwa na mkutano wa Watanzania wote ili tuweze kuwapa muhtasari wa tulikofikia mpaka sasa siku ya Alhamisi tarehe 20 Machi saa mbili usiku kwa saa za New York. Ili uweze kushiriki kwenye Teleconference hii piga namba 712-432-1500 halafu ingiza pin namba ikifuatiwa na alama ya reli kama ifuatavyo: 465228#.
 
Wote mnakaribishwa.
CHANGIA 
 
Pursuant to our call for the right of dual citizenship for all Tanzanians, the Tanzanian Communities in the United States of America and the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) have agreed to file a petition for this cause to the Constitutional Review Parliament that is now taking place in Dodoma, Tanzania through our Representative Honorable Kadari Singo, who is also a member of the our Diaspora Community and who resides in California. With the highest honor, we invite you to support this petition.
 
Honorable Kadari Singo is now attending the Constitutional Review Parliament in Dodoma.  After consultation with other members of the Parliament and in seeking their support, and after thorough deliberations on how to bring the issue of dual citizenship to the attention of all members of the above-mentioned Parliament, it was decided that a workshop, training or conference should be arranged to lobby to the members of the Parliament and inform them of the necessity and urgency of their supportive votes when the motion of dual citizenship will be tabled.
 
For that conference, we will need experts on this issue from other parts of Tanzania and abroad (including International Office for Migration - IOM) to attend at a very short notice. We will also need an excellent venue and some refreshments. Moreover, the experts on this issue will need to be paid. Hence, we are looking for at least $25,000 dollars to cover expenses for this event. The plan is to run a workshop/seminar for 3 days targeting different groups of MPs for each day.
 
We are certain that if the members of the parliament are made to understand our motion, it will be easier for them to vote for dual citizenship. Dual citizenship is an important right that has been denied to Tanzanians since 1964. Thus, we hope that the workshop or conference will provide the members of the Parliament with an opportunity to understand the overall benefits of dual citizenship and why their votes for this cause are imperative. Moreover, we invite you to think about your interests, family and opportunities offered by dual citizenship.
 
For these reasons, we ask you to support this cause by giving any donations to the following account:
 
Using Debit/credit cards click here: 
 
 
     OR
 
 
The funds obtained will be used to arrange the above-mentioned workshop or conference in Dodoma, Tanzania. We need at least $ 25,000 so you may contribute any amount you can afford. If every Tanzanian in the United States contributes at least $50, we will reach or surpass the amount of $ 25,000.
 
We are grateful that you are supporting dual citizenship for Tanzanians outside their country and we hope through your support, we will be able to achieve this goal.
Tanzanian Communities in the United States and the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA).
 
Iddi Sandaly 
President 
Association of the Tanzanian Community in Washington, DC 
Cell : 1-301-613-5165 
 
Benedict Kazora
President 
Tanzania Community in Dallas, Texas 
Cell : 1-269-873-0937
 
Ndaga Mwakabuta 
President, 
Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA), 
Cell: 1-952 217 0265 
 
Hajji Khamis 
Chairman, 
Association of Tanzanian Community in New York 
Cell : 1-347-623-8965
 
Omar Ali 
Chairman, 
Zanzibar Diaspora Association 
Cell : 1-215-459-4449
 
Deogratius Mhella
Executive Secretary
Association of Tanzanian Community in New York 
Cell: 201-252-7220 
 
Emil Muta
Tanzania Community in Washington State 
Cell : 1-269-873-0937
 
RABIA DAHAL
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA
LOS ANGELES
cell: 818-378-6076
 
BRANDES MWESIGWE
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA SAN FRANCISCO
cell: 510-325-5959
 
JOHN KAZOLA
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA GEORGIA
cell: 678-362-8238
 
5. JAMES KITIA
RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA MIDWEST
cell: 773-747-4225
 
MISS YONA ISIMIKA
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA WASHINGTON STATES
EMAIL:
CELL: 425-590-9292
 
EMIL MUTA
MWENYEKIT WA BOARD YA JUMUIYA YA WATANZANIA WASHINGTON STATES
cell: 253-952-0579
 
SUBIRA MABUBA
MWENYEKITI WA BODI YA JUMUIYA YA WATANZANIA WICHITA KANSAS
cell: 316-519-2836
 
JOHN ADHERO
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA KANSAS CITY
cell: 316-644-0828
 
SANGIWA ELIAMANI
RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW ENGLAND
 
NOVATUS SIMBA
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON
cell: 832-208-8344
 
PETER KIRIGITI
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA OHIO
cell: 614-668-8096
 
GEOFFREY LEPANA
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTH CAROLINA
cell: 336-512-8097
13. DOREEN KOBERO
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA FLORIDA
cell: 850-320-2290
 
Kwa niaba ya viongozi wote waliotajwa hapo juu,

Katibu Jumuiya ya Watanzania New York.

0 comments: