Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, April 27, 2014

TUKIO KATIKA PICHA: KITUO CHA GENEVA , SWITZELAND WAUNGANA NA WATANZANIA KUSHEREHEKEA SIKUU YA MUUNGANGO MIAKA 50,SHEREHE ZAFANA SANA.

Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Geneva,  Mhe.  Modest Mero, akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya watu wa  China-Geneva, Liu Jieyi katika tafrija maalum ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa ILO hii leo na kuhudhuriwa na mabalozi wa nchi mbalimbali ikiwemo balozi huyo China UN mjini Geneva, Balozi wa Kenya, Balozi wa Afrika Kusini, Balozi wa Togo, Balozi wa Botswana, Balozi wa Cameroon, Balozi wa Rwanda, wawakilishi wa Mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa na Watanzania waishio Switzerland. Kushoto ni Mke wa balozi huyo Rose  Mero.
 

 Mke wa Balozi Mero, Rose  Mero akisalimiana na ujumbe wa Ubalozi wa Denmark. pamoja nao ni Balozi Modest Mero na Balozi wa Dernmark-UN.
 Balozi Mero akijumuika na mabalozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria katika tafrija hiyo. 
 
Mh Balozi Mero akizungumza jambo
 Familia ya Balozi Mero katika picha ya Pamoja.
 Wanawake mbalimbali waliohudhuria tafrija hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mke wa Balozi Mero.
 Balozi Mero alitoa hotuba ambayo ilielezea historia, maendeleo, na maendeleo ya mchakato wa Katiba mpya, Hotuba hiyo pia iliweza kubaiinisha wazi ni vipi Tanzania na Watanzania wameweza kumudu kurumu katika muungano huo kwa miaka 50 sasa.
  Afisa Utawala katika Ubalozi wa Tanzania UN, Hamisa Mkoma akiwa na Mke wa Balozi wa Tanzania UN, Mama Rose Mero
Balozi Modest Mero akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maofisa katika Ubalozi wa Tanzania UN mjini Geneva. 

Wageni mbalimbali waliohudhuria tafrija hiyo.







 Picha mbalimbali za Kumbukumbu zikiendelea kupigwa


 Wageni wakiendelea Kufika kwa ajili ya Sherehe hizo za Kuadhimisha Miaka 50 ya Muungano

 Baadhi ya Wageni waalikwa wakiendelea kubadilishana mawazo


 Ilikuwa ni Siku ya Muhimu ambapo kumbukumbu katika Picha za Mnato ilikuwa ni ya Muhimu


 Wageni waalikwa wakiwa wanaongezeka kufika kwa ajili ya Kusherekea Miaka 50 ya Muungano
 Wageni mbalimbali wakiwa wanabadilishana mawazo
 Dj nae hayupo nyuma anahakikisha mambo ya Burudani yanakwenda sawa






 Ilikuwa ni wakati wa Menu... hii yote ni kusherehekea Miaka 50 ya Muungano


 Kila Mtu amependeza



 Wengi walipendeza kwa kuvalia Mavazi ya Kiafrika

 Wakipata Ukodaki wakati wa Sherehe hizo


 Muda wa Muziki hapa..

Kwa hakika Sherehe zilifana sana ..

0 comments: