Si wengine bali ni bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya
Ngoma Africa band aka FFU ukipenda waite viumbe wa ajabu "Anunnaki
alien" au watoto wa mbwa, walifanikiwa kutingisha jukwaa tena siku ya
jumamosi 7 Juni 2014 mjini Dortmund,Ujerumani.katika onyesho la
Challenge Festival liloandaliwa na umoja wa wakameruni nchini Ujerumani.
wasikilize ffu at www.ngoma-africa.com
0 comments:
Post a Comment