
mimi loveness mamuya
sijamfanyia wala sinto mfanyia mgombea yoyote kampeni .Nieleweke kwa ndugu zangu wana jumuiya
wa DMV.Naomba wana jumuiya wenzangu mjitokeze kwa wingi kujiandikisha na kupiga kura.
tukumbuke
kuwa jumuiya yetu itajengwa na wanajumuiya wote na ni jukumu la kila
mmoja wetu kutambuwa hilo .Naomba watanzania wa DMV tuweke pembeni vyama
vya siasa .dini, na makundi yote
tusimame
kwa pamoja na tuwe kitu kimoja kama mtanzania .TANZANIA KWANZA
.Jivunie kuwa Mtanzania ,Tuipende Tanzania ,bila kusahau tuintangaze
Tanzania .Tanzania oyeee
Vijimambo Blog
0 comments:
Post a Comment