Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, August 13, 2014

KAMATI YA UCHAGUZI: TAMKO RASMI‏



“Kwa wanaDMV: Inaelekea kumebakia suitafahamu au tafsiri fulani kuhusu matokeo ya uchaguzi wa DMV 2014 kufuatia takwimu za kura tulizotoa na kuwasilisha kwa bodi ya DMV. Tamko hili linaweka wazi mshindi katika kila nafasi iliyogombaniwa. Hivyo kwa mujibu wa matokeo ya kura na wa katiba, wafuatao ndiyo viongozi wapya wa jumuia yetu kwa miaka miwili ijayo:
RAIS- Iddy Sandaly
MAKAMU WA RAIS - Harriet Shangarai
KATIBU- Saidi Mwamende

MAKAMU WA KATIBU-  Bernadetta Kaiza
MWEKA HAZINA- Jasmine Rubama

Tamko hili pia limefikisha Kamati ya Uchaguzi wa 2014 kwenye tamati yake.
Mungu ibariki DMV, na adumishe mshikamano imara wa Watanzania.”

Safari Ohumay

Mwenyekiti

0 comments: