Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, October 23, 2014

KIWETE ATUNUKIWA UPROFESA NCHINI CHINA



 Rais Jakaya Kikwete akitunukiwa uprofesa wa heshima kutoka Chuo Kikuu cah Kilimo China jijini Beijing. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Jiang Peimin na kulia ni Rais wa Chuo hicho Profesa KE Bingsheng.

 Rais Kikwete akivishwa beji maalum
 Rais Kikwete akitoa hotuba yake.


Rais Jakaya Kiwete akitembelea shamba maalum la kisasa (greenhouse) alipowasili katika Chuo Kikuu cha Kilimo China mchana wa leo na kuhutubia hadhara ya chuo hicho juu ya maendeleo ya kilimo nchini Tanzania kabla ya kutunukiwa uprofesa wa heshima.

0 comments: