Baadhi
ya Watanzania waishio Poland wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) wakati
alipokutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu
alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.
Mmoja wa Watanzania waishio Poland
wakiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kukutana nao mwishoni mwa wiki
kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw,
Poland.
Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu. (Picha na Irene Bwire wa OWM).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na
Mwenyekiti wa Watanzania waishio Poland (WAPO), Bw. Steven Sambali mara bada ya
kukutana nao na kuwaeleza mambo yanayoendelea nyumbani Tanzania. Waziri Mkuu
alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.
0 comments:
Post a Comment