Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka
Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa
upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward
Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya
kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Daktari Edward Schaeffer
muda mfupi baada ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins
huko Baltimore, Maryland nchini Marekani ambapo alifanyiwa upasuaji
mwishoni mwa wiki iliyopita.(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment