Mwandishi wa vitabu Yasin Kapuya akimwelezea Rais mstaafu Ali Hassan
Mwinyi ya jinsi gani vitabu vyake vinavyoweza kumkwamua mwananchi wa
hali ya chini na kumfikisha juu katika kumboreshea maisha mapya.
Akijitolea mfano wake mwenyewe alipoanzia shimoni Kariakoo mpaka kufika
nchni Marekani na sasa kualikwa katika mikutano mikubwa ya kutoa semina
ya jinsi gani unavyoweza au kampuni inavyoweza kuwa namba moja katika
sekta ya biashara.
Mwandishi wa vitabu Yasin Kapuya akichangia jambo na Katibu Mkuu wa
Rais mstaafu Bwn. Abdallah Makame (kulia) aliokua akiongea na Rais
mstaafu Ali Hassan Mwinyi siku ya Ijumaa April 24, 2015 jijini
Washington, DC nchini Marekani.
Mwandishi wa Vitabu Yasin Kapuya wakiwa katika picha ya pamoja na
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi wakishikilia bango la kitabu chake kipya
kitakachotoka hivi karibuni.
Mwandishi wa Vitabu Yasin Kapuya akimkabidhi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi moja ya vitabu vyake.
Mwandishi wa Vitabu Yasin Kapuya akiagana na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi.
0 comments:
Post a Comment