Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania Wanaosioma
Mjini Beijing Ndg Suleiman Serera , akiagwa na Mtaalamu wa IT wa Jumuiya
hiyo Ndg Salum Ramadhani baada ya kuchaguliwa mwenyekiti mpya katika
Mkutano Mkuu huo uliofanyika Chuoni hapo.
Katika Uchaguzi huo Mkuu wa Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Mjini Beijing China,
Wamemchagua Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kura nyingi Ndg Ireneus
Kagashe na Makamo Mwenyekiti Ndg Mara Abdurahaman Said kwa upande wa
nafasi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo amechaguliawa Ndg. Godfrey Steven
na nafasi ya Naibu Katibu Mkuu imechukuliwa na Ndg Asha Hijja kwa upande
wa Mtunza Hazina (Fedha) Ndg Ezekiel Elineema.
Balozi wa Tanzania Nchini China Balozi Abdurahaman Shimbo(katikati)
akifungua Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanafunzi Watanzania wanaosoma Mjini
Beijing China, uliofunguliwa na Balozi Shimbo. kushoto Muambata wa
Ubalozi wa Tanzania Elimu George Manongina kulia Mwenyekiti Mstaafu wa
Umoja wa Wanafunzi wanaosoma Mjini Beijing China Ndg Suleiman Serera
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wanaosoma Beijing wakimsikiliza Balozi wa
Tanzania Nchini China akifungua Mkutano wao Mkuu wa kuwachagua Viongozi
wapya kwa mwaka 2015/2016
Mmoja wa Mwanafunzi akiuliza swali wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya
hiyo uliofanyika Mjini Beijing China, Mkutano huu umewajumuisha
Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Beijing Tu.
Wanafunzi wakipiga kura yao kuwachagua viongozi wa jumuiya yao.
Wakipiga kura yao
Akiwa na tabasamu wakati akipiga kura yake kumchagua Viongozi wao wa Jumuiya ya Wanafunzi wanaosoma Beijing China.
Wanafunzo wa Kitanzania wanaosoma Beijing wakiwa na tabasamu kumpigia
Kiongozi wa Jumuiya yao na kutumia Demokrasia yao kumchagua wamtakae
Wakihakikisha kura yao haiharibiki wanaitumia vilivyo kumpata Kiongozi Bora kuwaongoza kwa mwaka wa masomo 2015/2016
Wakati wa kuhesabu kura umefika na zoezi hilo kuaza kuwapata washindi wa Uchaguzi huo Mkuu.
Zoezi likiendelea la kuhesabu kura kama wanavyoonekana Kamati ya Uchaguzi ikifanya kazi yake. ya kuhesabu kura.
Zoezi likiendelea la kuhesabu kura kama wanavyoonekana Kamati ya Uchaguzi ikifanya kazi yake. ya kuhesabu kura.
Balozi Abdurahaman Shimbo akiondoka katika ukumbi wa mkutano Mkuu wa
Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania Wanaosoma Beijing China, akiongozania
na Mtaalam wa IT wa Jumuiya hiyo Ndg Salum Ramadhan.
Viongozi Wapya waliochaguliwa katika Mkutano Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja ikiwa ni kumbukumbu ya Uchaguzi huo.
Viongozi Wapya waliochaguliwa katika Mkutano Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja ikiwa ni kumbukumbu ya Uchaguzi huo.
Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Beijing China wakiwa katika picha
ya pamoja baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo na
kuwapata Viongozi wapya baada ya kuchagulia kwa kuongoza Jumuiya hiyo
kwa mwaka 2015/2016
0 comments:
Post a Comment