Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akitoa hutuba yake YA UFUNGUZI WA katika Mkutano wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Ujerumani uliofanyika Mjini
Berlin.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein(kulia) akiwa na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Gabonese Mhe,Jean
ClaudeBouyobartkabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wafanyabiashara na
Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani uliofanyika Mjini Berlin Nchini
Ujerumani.
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (kutoka kulia) Waziri wa
Kilimo na Maliasili Mhe,Sira Ubwa Mamboya,Waziri wa
Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Mhe,Said Ali Mbarouk na Katibu
Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee wamejumuika na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Mkutano wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani uliofanyika
Mjini Berlin Nchini Ujerumani.
Baadhi ya Viongozi wa Tanzania kutoka kulia Msaidizi Balozi wa
Tanzania Ujerumani Christopher H.Mvula (kulia) Balozi Mohamed Ramia
Abdiwawa pia Mshauri wa Rais Mambio ya Nje na Ushirikiano wa Kimatataifa
na Uchumi(katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje ya Zanzibar
Balozi Silima Kombo Haji wakiwa ni miongoni mwa walioshiriki katika
Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani
uliofanyika Mjini Berlin Nchini Ujerumani.
Katibu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Balozi wa
Tanzania Nchini Ujerumani Philipo Marmo wamejumuika na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na
Wajerumani uliofanyika Mjini Berlin Nchini Ujerumani.
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Gabonese Mhe,Jean ClaudeBouyobart
akizungumza na washiriki mbali mbali wa Mkutano wa Wafanyabiashara na
Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani alipoufungua rasmi katika jumba la
Baraza la Biashara la Ujerumani Mjini Berlin.
Baadhi ya Wafanyabiashara na wawekezaji kutoka nchi mbali mbali za
Afrika na Ujerumani wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Wafanyabiashara
na wawekezaji wa Afrika na Ujerumani Mjini Berlin.
Picha na Ramadhan Othman.
0 comments:
Post a Comment