Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, June 16, 2015

PICHA NA VIDEO: RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK MACHAR NCHINI AFRIKA YA KUSINI, AOMBWA AENDELEE KUSIMAMIA MAZUNGUMZO YA AMANI KATI YA VIKUNDI VINAVYOSIGANA VYA NCHI HIYO‏



 

Mhe. Riek Machar Teny Dhurgon baada ya kufanya naye mazungumzo mafupi walipokutana jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, Jumatatu jioni Juni 15, 2015 baada ya Mkutano wa 25 wa Kawaida wa  Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU), ambapo Mhe Machar alimuomba Rais Kikwete aendelee kuwa mwenyeji wa mikutano ya mazungumzo ya amani kati ya vikundi vitatu vinavyosigana vya nchi hiyo. Kulia ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

PICHA NA IKULU

0 comments: