Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, June 12, 2015

WIMBO WA KUMUAGA JK KUTOKA UJERUMANI KWA NGOMA AFRKA BAND‏

NYIMBO ZA KUMUAGA RAIS JAKAYA KIKWETE HEWANI ! SI WENGINE NI NGOMA AFRICA BAND AKA FFU -Ughaibuni yenye maskani kule ujerumani 
 Mtunzi:Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja 
Waimbaji: Kamanda Ras Makunja Afande Chris-B ambaye pia ni mpiga solo gitaa Bendi: 
Ngoma Africa band aka FFU wasiliana nao at ngoma4U@gmail.com

0 comments: