Wandishi wa habari kutoka Tanzania
katika picha na mwakilishi wa kampuni ya teknolojia ya mawasiliano ya
Nortal muda mfupi baada ya kumtembelea kampani hiyo jijini Tallinn
Estonia
Meya wa mji wa Haapsalu katika picha ya pamoja na baadhi ya wandishi wa habari wa Tanzania baada ya nazungumza na wandishi hao.
………………………………………………………………..
Na: Geofrey Tengeneza
Wandishi wa habari sita kutoka
vyombo vya habari kutoka Tanzania wako ziarani chini Estonia kwa mwaliko
wa Serikali ya nchi hiyo.
Lengo la ziara hiyo ni kutoa
fursa kwa wandishi wa habari wa Tanzania kujifunza na kujionea shughuli
mbali mbali katika sekta za teknolojia ya mawasiliano , elimu, utalii,
afya n.k. ili kuandikia habari hizo n chini Tanzania.
Katika siku mbili za mwanzo za ziara hiyo ya siku tano, wandishi hao kutoka Tanzania
tayari wametembelea sehemu
kadhaa ikiwa ni pamoja na kampuni kubwa inayoongoza katika teknolojia ya
mawasiliano chini Estonia iitwayo Nortal, kituo cha tiba maalumu ya
matope na chumvi kilichopo katika mji wa Haapsalu na kuzungumza na Meya
wa mji huo Staili Meya Maret Sukles.
Katika ziara hiyo inayoratibiwa a
na chuo kikuu cha Tullinn shule kuu ya Media and filming ya Balticts,
wandishi hao wamefuata na afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Sweden Bw.
Jacob Msekwa.
0 comments:
Post a Comment