Gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini akipita mbele ya mashabiki wake kushukuru. Picha na Vijimambo Blog/Kwanza Production
Gwiji la mitindo Asya Idarous
Khamsini (kushoto) akiwasalimia mashabiki wa mitindo kwenye Swahili Fest
iliyofanyika siku ya Jumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Maryland
na kuhudhuriwa na nchi tano za Afrika Mashariki.
Walimbwende waliovaa nguo za za gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini wakiwa katika picha ya pamoja.
0 comments:
Post a Comment