Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, October 5, 2015

RAIS KIKWETE NA RAIS KENYATTA WAZINDUA BARABARA TAVETA


1
2
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakifunua vitambaa kuashiria kuanza ujenzi wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Mwatate huko Taveta nchini Kenya Octoba 4, 2015. Rais Kikwete leo ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Kenya. 
5
6
Marais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Uhuru Kenyatta wa Kenya wakipeperusha Bendera za nchi zao kuzindua ujenzi wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Mwatate huko Taveta nchini Kenya Octoba 4, 2015.
3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa eneo la TAVETA nchini Kenya ambapo alianza ziara yak e ya siku tatu kwa kuzindua ujenzi wa wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Mwatate huko Taveta.
4
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete eneo la TAVETA nchini Kenya muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili na kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu.(Picha na Freddy Maro)

0 comments: