TAWI LA CCM-NY LINAWAKARIBISHA WANACHAMA WOTE NA MARAFIKI BILA KUJALI
ITIKADI KWENYE KIKAO CHAKE KITAKACHO AMBATANA NA TAFRIJA FUPI YA
KUMPONGEZA NA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA DR. JOHN POMBE MAGUFULI. KUTAKUWEPO NA VITAFUNYWA NA
VIBURUDISHO MBALIMBALI .
SIKU: Jumamosi Desemba 12, 2015
MUDA: 6:00PM - 11:00PM
MAHALI: 211 West 116th Street, btn. 7th & 8th avenue New York NY 10026
NYOTE MNAKARIBISHWA
IMETOLEWA NA
UONGOZI WA TAWI
0 comments:
Post a Comment