Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, January 18, 2016

JUST IN: TANZIA:ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM DMV GEORGE SEBO AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa Mwenyekiti tawi la CCM DMV Bwn. George Sebo enzi za uhai wake

George Sebo mwenyekiti wa CCM DMV amefariki Dunia muda si mrefu Katika hospitali ya Prince George taarifa zaidi zinakuijia hivi punde

0 comments: