Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, January 8, 2016

Tangazo la msiba London: Marehemu Abeid Said Mpate

A’alaykum warahmatuLlahi wabarakatuh, Ina Llillah waina ilaih rajiun.
Ndugu zetu wa kiislam, tumepata faradh katika mji wetu wa coventry, Jana (06/01/2016)  ndugu yetu Abeid said (MPATE) ametangulia mbele ya haki. Ni wajibu  wetu waislam kumstiri muislam  mwenzetu. 
Tunaomba  michango yenu ili tuweze  kumstiri  ndugu yetu kwa chochote utakacho  jaaliwa inshAllah.
Jina : Mohamed Saleh
Account number: 19891363
Sort :  30-92-33
Lloyd. 
: 07939294471 (wanawake)
:07801750508 (wanaume )
Maziko tutawajulisha baada ya kupatikana mwili wa marehemu, InshAllah.
Tafadhali ukipata ujumbe huu mtumie na mwenzio
Shukran  wa JazakumLlah khayran.

0 comments: