Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Botswana baada
ya kuhudhuria mkutano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania
waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkuatano wa SADC mjini Gaborone
Januari 18, 2016.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Watanzania waishio Botswana baada
ya kuhudhuria mkutano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment