Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, April 8, 2016

TAARIFA HII INASIKITISHA: MTANZANIA APIGWA RISASI NA KUFARIKI HOUSTON NCHINI MAREKANI



Ndugu  Wanajumuiya,

Tunasikitika kuwataarifu  juu ya mauti yaliyomkuta mwanajuiya mwenzetu hapa Houston Marehemu Henry Kiherile.
Marehemu alikumbwa na mauti na kuaga dunia juzi April/ 06/2016 usiku saa tano na nusu kwa kupigwa risasi mbili na kuporwa gari lake.

Mwili wa marehemu uko chini ya uchunguzi ukisubiri kupelekwa Funeral Home. Ndugu Wanajumuiya tutakuwa na MKUTANO kwa ajili ya huu MSIBA siku ya Ijumaa (04/08/2016) katika anuani hii hapa chini :

Anuani   :    8107  Meadows Pond DR,
                  Missouri City, TX, 77459

Tarehe   :    April /08/2016 { FRIDAY }

Muda     :    6 PM
    
Henry ni  Mtanzania mwenzetu hapa Houston na ana Family members hapa. 
Marehemu ni mpwa wa 
Lucy Tenende, na pia ni Mpwa wa  Mathew Mohono.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na: 

Lennard Tenende (713) 540-6355

Lucy Tenende (832) 338-7222

Matthew Mohono (281) 804-6478

Imetolewa na : THC Spokesman

0 comments: