Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, April 6, 2016

VIDEO] Mahojiano ya Mubelwa Bandio na mgombea uwakilishi nchini Marekani Will Jawando

Photo Credits: @wjawando
Mgombea uwakilishi katika Bunge la Marekani William Jawando alihojiwa na Mubelwa Bandio katika studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland nchini Marekani. Mbali na mambo mengine, alizungumzia kuhusu mikakati yake katika kuisaidia diaspora ya Afrika katika eneo lake na Marekani kwa ujumla. Ikumbukwe kwamba 10% ya wazaliwa wa Afrika wanaoishi Marekani, wapo katika jiji la Washington DC
Karibu ufuatilie mahojiano haya

0 comments: