Inawezekana
kuna watu ambao hawajui umuhimu wa Fashion, kumbuka Fashion ni kitu
muhimu sana kwa sababu bila Fashion tusinge weza kwenda na wakati
kimavazi, hivyo tunapaswa
kuwapongeza sana wanamitindo ambao wanaendelea kutuletea mitindi mipya
na mizuri ya mavazi Tanzania.
Sasa
basi kwa umahiri wake Mma wa mitindo, ambaye ni mkombozi wa Designers
wengi hapa Tanznaia, Designer maarufu kama Asya Khamsin Kesho Ijumaa na
Jumamosi 5/8/2017
atakuwa kwenye jukwaa akionyesha mitindo yake Washington DC USA, katika
tukio la Kenya Reunion mjini Maryland.
0 comments:
Post a Comment