Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, March 25, 2012

Flora Mbasha na mumewe watembelea VOA


 Mwimbaji maarufu wa muziki wa injili nchini Tanzania Flora Mbasha na mumewe walipata fursa ya kutembezwa katika  studio nzima, na kuweza kuona  utendaji wa kazi unavyoenda. Pichani wakiwa Mkuu  wa idhaa ya kiswahili, Dk. Hamza Mwamoyo na  mtayarishaji wa vipindi Bwana Dwayne Collins. Baada ya hapo kwa pamoja Flora Mbasha alifanyiwa mahojiano na watangazi Sunday Shomary na Mary Mgawe ambayo yalirushwa moja kwa moja hewani. Habari hii imeletwa kwenu na Alex kassuwi, Washington DC.
 . Mkuu  wa idhaa ya kiswahili, Dk. Hamza Mwamoyo, akiongea na Flora Mbasha
Flora Mbasha akihojiwa na Mary Mgawe na Sunday Shomari 
katika studio za VOA
Picha na Michuzi blog

0 comments: