Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, March 20, 2012

Waimbaji wa nyimbo za Injili Florah Mbasha na Emmanuel Mbasha Live Virginia tarehe 25.03.2012


Waimbaji  wa nyimbo za Injili Florah Mbasha  na Emmanuel Mbasha  Kutoka Tanzania watakuwa wageni katika Kanisa Africa Lighthouse Baptist Temple, Charlottesville, Virginia Jumapili March 25, 2012.  Florah na Emmanuel watamtukuza Mungu kwa nyimbo.  Ibada yetu itaanza saa Nne Asubuhi. Karibuni Wote tuje tumtukuze Mungu wetu.

Ndugu yenu, Pastor Peter Chege
 Anuani yetu ni
2228 Greenbrier Dr 
Charlottesville, VA 22901 

0 comments: