
Kocha Marcio Maximo akiwa na wadau wa soka alipokutana
nao jijini Sao Paulo April 16, 2012

Ankal akibadilishana kadi na Kocha MaximoKocha Maximo
na wadau jijini Sao Paulo

Kocha Maximo akipozi na mwandishi wa MAELEZO,
Anna Nkinda jijini Sao Paulo

Kocha Maximo akiwa na mwanahabari mahiri wa TBC Gaston
Msigwa jijini Sao Paulo

Kocha Maximo akipozi na mwandishi wa habari mwandamizi
wa HabariLeo Joseph Lugendo jijini Sao Paulo

Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Uchumi na Ushirika
ZanzibarHaroun Ali Suleiman akisalimiana na Kocha Maximo
jijini Sao Paulo
0 comments:
Post a Comment