Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, April 29, 2012

LINAH, AJ, WAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI, NYC


Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah akiwa kwenye jukwaa akiimba wimbo wa njiwa kwa show iliyofanyikia The Baseline Club, Mount Vernon, New York.
Linah akicheza na mashabiki wa New York waliokuja kwenye show yake.
Linah na Aj (kulia) wakimueka mtu kati NY Ebra kwenye show yao iliyofanyika The Baseleine Club, Mount Vernon, New York.
Linah mwanamuziki wa kizazi kipya toka Tanzania akiwa kwenye jukwaa akiimba kusaidiana na AJ (kulia) huku shabiki akiendelea kutuza  kama anayoonekana katika show yao iliyofanyika The Baseline, Mount Vernon, New York.

Mashabiki wa New York akiwemo Dean Nyalusi (kulia) wakipata picha ya pamoja.
Mashabiki wa DMV nao walikuwepo kwenye show ya Linah.
Mashabii wa New York City wakipata picha ya pamoja.
Mashabiki wa New York na DMV wakipata picha ya pamoja kwenye show ya Linah.
Mambo yamekua mambo ni ukodak moment kwa kwenda mbele.
Shabiki namba moja wa Bongo Flava wa New York akipata picha ya kumbukumbu na mwanamuziki wa kizazi kipya Linah.
Kwa picha zaidi Bofya Read More


Picha na NY Ebra.
Picha kwa hisani ya Vijimambo blog

0 comments: