Mashabiki wakipata picha ya pamoja na mwanamuziki wa kizazi kipya Linah alipofanya makamuzi Columbus Ohio Jumamosi April 21, 2012 kwenye kioata cha Monkey's
Shabiki na moja wa Bongo Flava akipata picha ya pamoja na Linah.
Mashabiki wa Columbus wakipata picha ya pamoja na Linah baada ya kufanya makamuzi kwnye kiota cha Monkey's kilichopo Columbus, Ohio.
Mashabiki wakipata picha ya pamoja baada ya makamuzi ya nguvu ya Linah na AJ Ubao kwenye kiota cha Monkey's mjini Columbus, Ohio
Mashabiki wa Linah wakipata picha ya pamoja nae baada ya kuwapa makamuzi ya kufa mtu jijini Columbus, Ohio.
Mashabiki wa Columbus, Ohio wakipaa picha ya pamoja na Linah.
Mashabiki baada ya kupagawishwa na mwanamuziki wa kizazi kipya Linah wakipiga picha nae kama kumbukumbu Jumamosi April 21, 2012.
0 comments:
Post a Comment