Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, April 23, 2012

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Suma Lee atinga New York City

 Mwanamuziki wa kizazi kipya Suma Lee mwenye wimbo unaotamba Bongo wa Hakunaga ambao umeshinda tuzo ya wimbo bora kwenye Kili Award,pichani Suma Lee akivinjali mitaa ya New York City.
 Suna Lee (kulia) akiwa Dean Nyalusi mitaa ya kati Times Square, Suma Lee yupo njiani kuelekea Columbus, Ohio kwenye shughuli za Kimuziki

 Suma Lee (shoto) akiwa na mwenyeji wake NY Ebra mitaa ya Tines Square New York City.
 Suma Lee akipata ukodak moment NYC
 Suma Lee akiwa mitaa ya New York City Jumatatu April 23, 2012.
 Suma Lee akipata menu jijini Nyew York
 Suma Lee akiinjoi usafiri wa Treni ndani ya New York Citym
Suma Lee akiwa shimoni kwenye usafiri wa Treni


Picha na NY Ebra, muakilishi wa Vijimambo NY
Kwa hisani ya Vijimambo blog

0 comments: