Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, May 15, 2012

MKUTANO WA KIMATAIFA WA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA UJERUMANI


 Bi.
Christiana Figeres, Executive Secretary wa  United Nations Framework
Convention on Climate Change (UNFCCC) akifungua mkutano  wa kimataifa wa
sayansi na taaluma wa mabadiliko ya tabia nchi, Mjini Bonn Ujerumani.
 Pichani
Kulia, Bw Richard Muyungi Mkurugenzi  Msaidizi wa Idara ya Mazingira Ya
Ofisi wa Makamu wa Rais, ambae Pia ni mwenyekiti wa Dunia wa kamati ya
sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabia Nchi, pamoja na washiriki
wengine katika ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya Tabia
nchi unaoendela mjini Bonn Ujerumani
Mbele
Kulia, Bwana Alfonce Bikulamchi, Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu
wa Rais akifuatilia kwa umakini ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa
Sayansi na Taaluma wa masuala ya mabadiliko ya Tabia Nchi unaondelea
Mjini Bonn Ujerumani. 

 Picha na Evelyn Mkokoi, Bonn

0 comments: