Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, May 28, 2012

Picha Za Waheshimiwa Zitto Kabwe,Peter Msigwa,Joshua Nassari,Leticia Nyerere,Maryam Msabaha Walivyofunika Kwenye Uzinduzi Rasmi Wa Tawi La CHADEMA Washington DC

 Mhe. Peter Msigwa akiandika masuali yaliokuwa yakiulizwa na baadhi ya wakireketwa
 Mhe. Nassari Joshua (Dogo Janja) Akishanga mamia ya wana DMV waliofurika katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc
 Mhe. Leticia Nyerere (Picha ya kwanza kushoto)akiwa kwenye uzinduzi wa watawi la Chadema Washington Dc

 Mhe. Maryam Msabaha akiwa kwenye uzinduzi wa watawi la Chadema Washington Dc
 Mwanachama wa chadema kutoka Boston Ma akiuliza masuali tafauti  katika mpango mzima wa uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc uliofanyika jana Mei 27, kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University  Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.
 Kamanda Doto akiuliza masuali tafauti  katika mpango mzima wa uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc uliofanyika jana Mei 27, kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University  Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.
 Mhe. Zitto Kabwe akitoa hutba kuelezea mpango mzima wa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania
 Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc  kwenye meza ya juu wa kwanza kushoto Libe Mwangombe, akifatiwa na Mhe. Peter Msigwa,  Mwenyekiti wa tawi Mhe. Kalley Pandukizi,  Mhe. Zitto Kabwe, na Mhe. Nassari Joshua, Dogo Janja, mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.
 Wana DMV wakisikiliza hutuba ya Mhe. Zitto Kabwe.
Baadhi ya wakereketwa wachukua kadi baada ya uzinduzi wa tawi la chadema Washington.


0 comments: