Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, May 27, 2012

Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe Awasilisha Hati za Utambulisho nchini Ireland, Akutana na Watanzania na Aongea na Nao

   Mh. Balozi Peter Kallaghe akiwasilisha barua ya utambulisho kwa Rais wa Ireland Michael Higgins

Mh. Balozi Peter Kallaghe katika picha ya pamoja  na Rais wa Ireland
Michael Higgins mara baada ya kuwasilisha barua ya utambulisho

Mh. Balozi Peter Kallaghe na mke wake Mama Balozi Joyce Kallaghe katika
picha ya pamoja  na Rais wa Ireland Michael Higgins mara baada ya
kuwasilisha barua ya utambulisho

Afisa ubalozi Amos Msanjila na Mh. Balozi Peter Kallaghe katika picha
ya pamoja na Rais wa Ireland Michael Higgins mara baada ya kuwasilisha
barua ya utambulisho.
  Mh. Balozi Peter Kallaghe akikabidhiwa zawadi na watanzania waishio Dublin.

Mh. Peter Kallaghe, mama Balozi Joyce Kallaghe, Afisa ubalozi Amos
Msanjila wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waishio
Dublin.

Baadhi ya watanzania waishio Dublin wakichagua chakula kutoka kwenye
menu huku maongezi yakiendelea.

Picha na Habari na Zimeletwa hapa na
Jestina George(Uingereza)na Evarist Chahali(ireland)

0 comments: